Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na
Watoto, akizungumza na waandishi wakati akitangaza matokeo ya mashindano
ya afya na Usafi wa Mazingira leo jijini leo jijini Dar es
Salaam.kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Mohamed Kambi.
HALMASHAURI
ya Meru uliypo mkoani Arusha inaongoza kwa asilimia 96 kwa usafi wa
ujenzi wa na matumizi ya vyoo bora katika kampeni ya kitaifa ya usafi wa
mazingira iliyohusisha halmashauri 185.
Hayo
ameyasema leo Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena
Watoto, Ummy Mwalimu wakati akitangaza matokeo ya mashindano ya afya na
Usafi wa Mazingira leo jijini, amesema kuwa halmashauri ya Meru imeweza
kufanya vizuri usafi wa mazingira na matumizi ya vyoo bora pamoja na
kuwa na sehemu ya kunawa mikono.
Amesema nafasi ya pili kwa usafi wa mazingira na matumizi bora ya vyoo ni
Halmashauri ya Njombe kwa asilimia 95.1 ikifuatiwa na Halmashauri ya
Makete kwa asilimia 80.4.
Waziri Ummy amesema katika kutekeleza kampeni hiyo kwa upande wa kijiji bora na mtaa kwa usafi kwa
vilivyoshindaniwa ni 80 , kijiji cha Kanikale kinaongoza wilayanii
Njombe kimeongoza asilimia 95.8 , nafasi ya pili imechukuliwa kijiji cha
Nambala wilaya Meru kwa asilimia 95.3 na kijiji cha tatu ni Lyalalo kwa
asilimia 93.5 wilayani Njombe.
Amesema
majiji na Manispaa ambazo zimefanya kampeni ya usafi wa mazingira,
vyoo bora pamoja na udhibiti wa taka ngumu kwa Manispaa ni Manispaa ya
Moshi kwa asilimia 78.5 mshindi wa Pili Jiji la Arusha kwa 78.1
ikifuatiwa na Manispaa ya Iringa kwa asilimia 67.2
Waziri
Ummy amesema kampeni ya 2018 wataongeza ofisi za serikali, shule za
msingi na sekondari kushindanisha katika usafi wa mazingira na vyoo
bora.

No comments:
Post a Comment