LATEST NEWS

Thursday, August 10, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATES NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI


 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates
Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye
Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates
Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 10, 2017



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiagana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation
Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini
Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (kulia), Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles

Tizeba (wa tatu Kushoto), Msaidizi wa rais Masuala ya diplomasia Bi.
Zuhura Bundala (kushoto) pamoja na maafisa alioongozana nao Bw. Bill
Gate

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana
na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson aliyemtembelea
na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10,
2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi
Patterson aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli
akiagana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Immi Patterson
aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo
Agosti 10, 2017.
 
 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Adbox