VINARA TUZO ZA SAYANSI ZA YST WAPATIKANA LEO. |
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Simon Msanjila akikabidhi zawadi kwa
washindi wa jumla wa Shindano la Wanasayansi Chipukizi (YST)
lililofanyika jana katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu , Simon Msanjila
akisoma Zawadi ya Washindi shindano la Wanasayansi Chipukizi
(YST)lililofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam
Kulia ni Mkurugenzi wa Shell Afrika Mashariki na Bg Tanzania Marc Den Hartog akishuhudia
Wanafunzi
wakiwashangilia washindi wa jumla wa Shindano la Wana Sayansi Chipukizi
lililofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wakishangilia mara baada ya kupata zawadi zao za ushindi katika shindano la Wanasayansi Chipukizi.
No comments:
Post a Comment