LATEST NEWS

Wednesday, August 9, 2017

ZIARA YA MANAIBU WAZIRI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE NA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA




Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto), wakati wa ziara ya kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, lengo ikiwa ni kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu,Utolewaji wa visa,udhibiti uingiaji wa dawa za kulevya na uingiaji na utunzaji kumbukumbu za watalii wanaoingia nchini.Kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akimuuliza swali Mkuu wa Uhamiaji Kituo cha Uwanja wan DEGE wa Kimataifa Julius Nyerere, Fulgence Mutarasha, wakati wa ziara iliyowajumuisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani, lengo ikiwa ni kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu,Utolewaji wa visa, uingiaji na utunzaji kumbukumbu za Watalii wanaoingia nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkuu wa Kitengo cha Uzingatiaji Viwango wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini, Paul Rwegasha, akifafanua jambo wakati wa ziara iliyojumuisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani(kushoto), Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (wapili kushoto) na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia).Lengo la ziara hiyo ni kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu,Utolewaji wa visa, uingiaji na utunzaji kumbukumbu za Watalii wanaoingia nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Meneja Huduma za Abiria wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Damas Temba, akielezea jinsi huduma ya kukagua mizigo inavyofanyika katika sehemu ya mizigo wakati wa ziara ya Manaibu Waziri, Mhandisi Hamad Masauni (Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi), Mhandisi Ramo Makani(Wizara ya Maliasili na Utalii) na Mhandisi Edwin Ngonyani(Wizara ya UIjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano), ikiwa na lengo kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu, Utolewaji wa visa, uingiaji na utunzaji kumbukumbu za Watalii wanaoingia nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
CAP PIX 5

Meneja Mradi Ujenzi wa Uwanja Mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Ray Blumrick, akitoa maendeleo ya ujenzi wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani(kulia), Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani(wapili kulia) na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu kulia), lengo la ziara hiyo ni kukagua kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu, Utolewaji wa visa, uingiaji na utunzaji kumbukumbu za Watalii wanaoingia nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Mkuu wa Kitengo cha Uzingatiaji Viwango wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini,Paul Rwegasha, akifafanua jambo wakati wa ziara iliyojumuisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani (kushoto), Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (wapili kushoto) na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia).Lengo la ziara hiyo ni kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu, Utolewaji wa visa, uingiaji na utunzaji kumbukumbu za Watalii wanaoingia nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Meneja Mradi Ujenzi wa Uwanja Mpya wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Ray Blumrick, akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni baada ya kumaliza kutembelea ujenzi huo.Lengo la ziara hiyo ni kukagua kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu, Utolewaji wa visa, uingiaji na utunzaji kumbukumbu za Watalii wanaoingia nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Mkurugenzi Mamlaka ya Bandari Tanzania, Lazaro Twange (katikati), akiwaonyesha ramani ya bandari ya Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani(kulia) na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati wa ziara ya viongozi hao lengo ikiwa ni kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu, Utolewaji wa visa, uingiaji na utunzaji kumbukumbu za Watalii wanaoingia nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Naibu Mkurugenzi Mamlaka ya Bandari Tanzania, Lazaro Twange, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani(wapili kulia) na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni (kulia), wakati wa ziara ya viongozi hao, lengo ikiwa ni kukagua masuala mbalimbali ikiwemo Ulinzi, Usalama, Miundombinu, Utolewaji wa visa, uingiaji na utunzaji kumbukumbu za Watalii wanaoingia nchini.Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Polisi Bandarini,Matanga Mbushi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Adbox