Waziri wa Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Mh SIMBA CHAWENE ameandika barua ya kujiudhuru kufuatia Tamko la Mhe Raisi Jonh Pombe Magufuli la kuwataka a viongozi ambao wapo serikalini na wametanjwa katika ripoti ya madini kupisha uchunguzi dhidi yao
Hatua hiyo imefuatia mara baada ya mheshimiwa raisi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kukabidhiwa ripoti ya madini ya Tanzanite na Almasi na Mh waziri mkuu Kasim Majaliwa Kasim hii leo IKULU jijini Dar es salaam ambayo imefanywa na kamati mbili maalumu zilizoundwa na Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania Mh Job Ndugai
Thursday, September 7, 2017
BREAKING NEWSS:SIMBACHAWENE AANDIKA BARUA YAKUJIUZULU KUFUATIA TAMKO LA RAISI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment