Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaomba wabunge watoe nusu ya posho zao kwa siku kuchangia gharama za matibabu ya Tundu Lissu.
Ndugai amesema leo bungeni kuwa gari ya Tundu Lissu ilipigwa jumla ya risasi 28 hadi 32,lakini zilizompata Tundu Lissu ni tano ambapo zilimjeruhi tumboni na mguuni.
Lissu aliondolewa Hospitali ya General Dodoma Usiku wa kuamkia leo na kupelekwa nchini Kenya kwa Matibabu zaidi
No comments:
Post a Comment