LATEST NEWS

Monday, May 1, 2017

Msikiti mmoja jijini Stockholm washambuliwa kwa moto


Shambulizi la msikiti nchini UswidiPolisi nchini Uswidi wafahamisha kushambuliwa kwa msikiti mmoja wa dhehebu la Shia jijini Stockholm . Msikiti wa Imam Ali Islamic Centre uliharibiwa kwa moto katika shambulizi linalosemekana kutekelezwa majira y usiku Jumapili kuamkia Jumatatu.
Wazima moto walifikishwa katika eneo hilo la tukio baada ya kufahamishwa kuhusu moto huo .
Taarifa zaidi zafahamisha kwamba sehemu kubwa ya msikiti huo imeteketezwa

No comments:

Post a Comment

Adbox