Watu 9 wauawa kwa kugongwa na gari la mizigo,Canada Unknown April 23, 2018 Watu tisa wameuawa mjini Toronto, nchini Canada baada kugongwa na gari la mizigo ambalo lilielekea katika mtaa wenye watu wengi. Wengine 16... Continue Reading
Australia inataka kuwa mwuzaji mkubwa wa bangi duniani Unknown January 07, 2018Australia inapanga kuhalalisha uuzaji nje wa bangi Serikali ya Australia imetangaza kwamba inapania kuwa mwuzaji mkubwa zaidi wa bangi ya ku... Continue Reading
Meli ya mafuta na ya mizigo zagongana China watu 32 hawajulikani waliko Unknown January 07, 2018Watu 32 hawajulikani waliko baada ya meli ya mafuta na ile ya mizigo kugongana mashariki mwa pwani ya China Jumamosi jioni. Meli ya mafuta y... Continue Reading
Watu 33 wafariki kwenye ajali ya treni DRC Unknown November 13, 2017 Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana Radio ya umoja wa mataifa nchini DRC imesema takriban watu 33 wamefariki katika ajali ya tren... Continue Reading
Tetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 200 Unknown November 13, 2017 Tetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 200 Tetemeko la ukubwa wa 7.3 katika vipimo vya richa limekumba eneo la kaskazini mwa ... Continue Reading
Trump: Japan itayatungua makombora ya Korea Kaskazini Unknown November 06, 2017 Rais wa Marekani Donald Trump, amesema kwamba Japan itatungusha makombora ya Korea Kaskazini "kuziondoa angani" kwa kutumia mi... Continue Reading
Watu 26 wauawa kanisani Texas Marekani Unknown November 06, 2017Askari na wafanyakazi wa dharura wakiwa katika eneo la mauaji katika kanisa la First Baptist huko Sutherland Springs, Texas, Nov. 5, 2017. M... Continue Reading
Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China wafunguliwa Unknown October 18, 2017 Mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China umefunguliwa leo Beijing nchini China. Katibu mkuu wa Kamati kuu ya chama Bw. Xi Jinp... Continue Reading
Austria kumchagua kiongozi mwenye umri mdogo zaidi duniani Unknown October 15, 2017 Mkuu wa chama cha kihafidhina nchini Austria cha People's Party, Sebastian Kurz, anaelekea kuwa kiongozi wa taifa mwenye umri mdogo dun... Continue Reading
Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola yafanikiwa Unknown October 12, 2017 Uchunguzi uliofanyiwa chanjo mbili tofauti za ugonjwa wa Ebola umebaini kuwa chanjo hizo zinaweza kumkinga mtu kutokana na virusi vya ug... Continue Reading
Trump aonya kufutillia mbali leseni za vyombo vya habari Unknown October 12, 2017 Rais Donald Trump ameendeleza mgogoro wake na vituo vya runinga nchini humo akisema kuwa vimekuwa na upendeleo na kuonya kwamba atafutilia ... Continue Reading
Madaktari watoa meno 7 kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja India Unknown September 08, 2017 Madaktari kwenye hospitali moja iliyo jimbo la magharibi mwa Inida ya Gujarat wamefanikiwa kutoa meno saba kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoj... Continue Reading
Watu 60 waaga dunia katika kimbunga cha Harvey nchini Marekani Unknown September 06, 2017Maafisa katika jimbo la Texas nchini Marekani wameripoti kuwa watu 60 wameaga dunia katika kimbunga cha Harvey kilicholiathiri pakubwa jimbo... Continue Reading
MAJARIBIO ZAIDI YA MAKOMBORA YAANDALIWA KOREA KASKAZINI Unknown September 04, 2017 Korea Kusini imesema kuwa kuna dalili kuwa Korea Kaskazini inapanga majaribio zaidi ya makombora hususan makombora ya masafa marefu. Maaf... Continue Reading
UN: Trump anachochea hujuma dhidi ya waandishi wa habari Unknown August 31, 2017Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa, kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani cha kukejeli na kuvi... Continue Reading
Washukiwa watano walioshtakiwa mauaji ya Benazir Bhutto waachiliwa huru Pakistan Unknown August 31, 2017 Bi Benazir Bhutto, alihudumu mihula miwili kama waziri mkuu wa Pakistan Mahakama maalum nchini Pakistan, imewaachia huru washukiwa watano... Continue Reading
Marekani: Korea Kaskazini Haitutishi, Tuna Silaha nzito za Kinyukilia Unknown August 10, 2017 Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani Rex Tillerson amesema kuwa hakuna tishio lolote la hivi karibuni kutoka Korea Kaskazini , lic... Continue Reading
Mazishi ya walioungua yafanyika Pakistan Unknown June 28, 2017 Mlipuko huo unatajwa kuwa mkubwa zaidi kwa siku za karibuni nchini humo Mazishi ya pamoja yamefanyika Pakistan baada ya watu 120 kufarik... Continue Reading
Shinzo Abe aishutumu Korea Kaskazini kwa kurusha makombora Unknown May 28, 2017 Shinzo Abe amesema anaiheshimu Korea Kaskazini Waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe ameishutumu Korea Kaskazini kutokana na majaribio yake ya... Continue Reading
Korea Kaskazini yarusha kombora jingine kuelekea Japan Unknown May 28, 2017 Jaribio hilo limetekelezwa siku moja baada ya taarifa kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un alisimamia jaribio la teknolojia ya... Continue Reading